Register
Login
Home
Home
Home
News Center
Announcements
Tenders & Business
Events
Events Calendar
News Center
News Center
Projects
The Rural Energy Fund
Projects
Projects
Resources
E-Library
Application Forms
LRTC2014 Online Proposal Form
RBF Online Grant Application Form
Resources
Resources
About Us
About REA
Organization Structure
The Rural Energy Board
About Us
About Us
Contact Us
Contact Us
Contact Us
News Center
Miradi ya Kusambaza Umeme Vijijini Kufanikisha Azma ya Serikali Kujenga Uchumi wa Viwanda
Saturday, July 20, 2019
|
Number of views (3593)
|
Categories:
News
,
Announcements
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo amesema miradi ya kusambaza umeme vijijini inayotekelezwa katika wilaya na mikoa yote Tanzania Bara itafanikisha azma ya Serikali ya kufikia uchumi wa kati kupitia sekta ya viwanda ifikapo Mwaka 2025.
Wakili Kalolo alisema hayo wakati wa ziara ya Bodi hiyo katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yaliyofanyika kuanzia tarehe 28/06/2018 hadi 13/07/2019 jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa, Bodi ya Nishati Vijijini itasimamia utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini ili kuhakikisha kuwa lengo la Serikali linafikiwa.
Aidha, Mwenyekiti huyo wa Bodi ya Nishati Vijijini alihimiza kuwa wananchi waanzishe viwanda vidogo vidogo vya kusindika mazao ya mimea, mifugo na uvuvi pamoja na viwanda vingine katika maeneo ambayo tayari yamepelekewa huduma ya umeme na kusema kuwa, huduma ya umeme itafikishwa katika kila Kijiji Tanzania Bara ifikapo Mwaka 2021.
Mkurugenzi Mkuu
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Jengo la LAPF, Ghorofa ya 7
S. L. P 2153
Dodoma, Tanzania
Barua pepe: info@rea.go.tz
Simu: +255 262323504, +255 262323506, +255 262323507
Search
Categories
RSS
Expand/Collapse
News
(79)
RSS
Expand/Collapse
Events
(14)
RSS
Expand/Collapse
Announcements
(87)
RSS
Expand/Collapse
Press Releases
(12)
RSS
Expand/Collapse
Reports
(7)
RSS
Expand/Collapse
Speeches
(3)
RSS
Expand/Collapse
Business
(53)
«
January 2021
»
Mon
Tue
Wed
Thu
Fri
Sat
Sun
28
29
30
31
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
1
2
3
4
5
6
7
Archive
2020, December
(3)
2020, November
(1)
2020, October
(1)
2020, September
(2)
2020, August
(4)
2020, May
(2)
2020, April
(1)
2020, January
(2)
2019, November
(3)
2019, October
(2)
2019, September
(2)
2019, August
(1)
2019, July
(3)
2019, June
(3)
2019, May
(1)
2019, April
(1)
2019, March
(1)
2019, February
(2)
2018, December
(2)
2018, November
(1)
2018, August
(1)
2018, June
(2)
2018, May
(3)
2018, April
(3)
2018, March
(3)
2018, February
(1)
2018, January
(1)
2017, December
(1)
2017, November
(2)
2017, October
(2)
2017, July
(4)
2017, June
(4)
2017, May
(4)
2017, April
(9)
2017, March
(1)
2017, February
(2)
2017, January
(1)
2016, December
(1)
2016, November
(2)
2016, October
(2)
2016, September
(2)
2016, August
(5)
2016, July
(3)
2016, June
(1)
2016, May
(2)
2016, April
(1)
2016, March
(3)
2016, February
(3)
2016, January
(5)
2015, December
(1)
2015, October
(3)
2015, August
(2)
2015, July
(1)
2015, March
(2)
2014, December
(1)
2014, October
(1)
2014, August
(1)
2014, May
(2)
2014, April
(2)
2014, January
(1)
2013, December
(1)
2013, October
(1)
2013, August
(3)
2013, July
(2)
2013, June
(2)
2013, May
(6)
2013, April
(1)
2013, January
(1)
2012, December
(1)
2012, September
(1)
2012, May
(1)
2012, March
(1)
2012, January
(2)
2011, December
(1)