May 23 Press Releases UFAFANUZI KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA KATIKA GAZETI LA JAMHURI TOLEO NA. 295 LA TAREHE 23 – 29 MEI, 2017 Announcements Press Releases Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatoa ufafanuzi kuhusu habari iliyochapishwa katika gazeti la Jamhuri Toleo Na. 295 la tarehe 23 – 29 Mei, 2017 yenye kichwa cha habari “ Waziri apiga dili” ununuzi wa zabuni ya wakandarasi wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwamba ulizingatia Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2011 (kama ilivyofanyiwa marekebisho Mwaka 2016) pamoja na kanuni zake.
April 20 Announcements UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) Announcements Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), Waziri wa Nishati na Madini, amemteua Mwenyekiti na Wajumbe Wapya wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kutokana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Nambari 5(1) (b) Nambari 8(3) cha Sheria ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.
February 21 Tenders TANGAZO LA MAFUNZO KWA AJILI YA MAFUNDI NA WAENDELEZAJI WA VYANZO VYA UMEME UNAOZALISHWA KUTOKANA NA NISHATI JADIDIFU Announcements, Business Wakala wa Nishati Vijiji (REA), kwa kipindi cha robo ya mwisho (Aprili – Juni) ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 umepanga kutoa mafunzo kwa mafundi na waendelezaji wa vyanzo vya umeme unaozalishwa kutokana na raslimali za nishati jadidifu katika kila mkoa Tanzania Bara.
February 9 Press Releases UTEKELEZAJI WA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU (TURNKEY III) WAANZA Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Awamu ya Tatu utakaojumuisha vijiji 7,873 katika wilaya na mikoa yote ya Tanzania Bara. Kati ya vijiji hivyo, vijiji 7,697 vitapelekewa umeme wa gridi na vijiji 176 umeme wa nje ya gridi (off-grid).
January 26 Announcements GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR RENEWABLE ENERGY INVENTORY FACILITY Announcements, Business The United Republic of Tanzania has received a grant from the Sustainable Energy Fund for Africa (SEFA) administrated by the African Development Bank to finance the establishment of the Renewable Energy Investment Facility.
December 21 Announcements APPOINTMENT OF ENG. BONIFACE GISSIMA NYAMO-HANGA AS THE DIRECTOR GENERAL OF THE RURAL ENERGY AGENCY (REA) Announcements, News The Rural Energy Board, at its Board Meeting held on 17th December 2016, and pursuant to Section 25 of the Rural Energy Act, 2005 has appointed Eng. Boniface Gissima Nyamo-Hanga to the position of the Director General of the Rural Energy Agency (REA) and Chief Executive Officer of the Rural Energy Fund (REF).
November 16 Tenders EXPRESSION OF INTEREST FOR PROVISION OF VARIOUS INDIVIDUAL CONSULTING SERVICES Announcements, Business, News The Rural Energy Agency invites eligible “individual consultants” to indicate their interest in carrying out the assignments for provision of various individual consulting services.
October 26 Tenders EXPRESSION OF INTEREST - CONSULTING SERVICES FOR REA’S “OFF-GRID” RENEWABLE ENERGY RURAL ELECTRIFICATION PROGRAMS Announcements, Business, News The Rural Energy Agency now invites eligible consulting firms to express interests in providing the Technical Assistance (TA) to implement “off-grid” renewable energy (RE) rural electrification programs.