February 2 News UZINDUZI WA UZINDUZI WA MRADI KABAMBE WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU KIGOMA Waziri wa Nishati, Mh. Dk. Medard M. Kalemani (Mb) amezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Kigoma na kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini katika Mikoa ya Katavi na Rukwa.
January 9 News TANGAZO LA MSIBA WA MFANYAKAZI WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) TANZIA News BODI YA NISHATI VIJIJINI (REB), MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI MWENZETU, BI. HARRIET N. MWINYIMVUA.
November 17 News ENG. GISSIMA B. NYAMO-HANGA EMERGES THE BEST DELEGATE IN THE SUB SAHARAN AFRICA POWER SUMMIT 2017 News Eng. Gissima B. Nyamo-Hanga, the Director General of Rural Energy Agency (REA - Tanzania) emerged the BEST DELEGATE in the Sub Saharan Africa Power Summit 2017 #SSAPOW17 hosted by Vale Media Group.
July 18 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA SIMIYU News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Simiyu, uzinduzi ulifanyika tarehe 14/07/2017 katika kijiji cha Nangale, Kata ya Ndolelezi, Wilaya ya Itilima.
July 17 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA MWANZA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Mwanza, uzinduzi ulifanyika tarehe 13/07/2017 katika kijiji cha Nyamatala, Kata ya Ngula, Wilaya ya Kwimba.
July 16 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA GEITA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Geita, uzinduzi ulifanyika tarehe 12/07/2017 katika kijiji cha Nyijundu, Kata ya Nyijundu, Wilaya ya Nyang’wale.
July 15 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA KAGERA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Kagera, uzinduzi ulifanyika tarehe 11/07/2017 katika kijiji cha Rwabigaga, Kata ya Kamuli, Wilaya ya Kyerwa.
June 26 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA MANYARA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Manyara uliofanyika tarehe 24/06/2017 katika kijiji cha Luxmanda, Kata ya Secheda, Wilaya ya Babati Vijijini.