June 23 News ZIARA YA VIONGOZI WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) KATIKA WILAYA YA KILOLO News Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga aliongoza ujumbe wa viongozi wa Wakala kutembelea Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa ili kutathmini matokeo chanya yaliyotokana na utekelezwaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini.
June 16 News MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KITAIFA YALIYOFANYIKA KIJIJI CHA , BUTIAMA, MKOA WA MARA News Tarehe 5 Juni 2017, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Ulishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Kijiji cha Butiama, Mkoa wa Mara. Wakala ulipata fursa ya kuonesha mpango wake wa kusambaza umeme vijijini.
May 16 Press Releases TAARIFA KWA WAKANDARASI WALIOSHINDA ZABUNI ZA KUTEKELEZA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU Announcements Press Releases, News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekamilisha taratibu za zabuni kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (Turnkey III) na unawajulisha Wakandarasi walioshinda kwamba hatua inayofuata ni kupewa barua za tuzo (Award Letters) na kusaini mikataba.
April 20 Announcements UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) Announcements Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), Waziri wa Nishati na Madini, amemteua Mwenyekiti na Wajumbe Wapya wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kutokana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Nambari 5(1) (b) Nambari 8(3) cha Sheria ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.
April 17 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA SINGIDA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Singida uliofanyika tarehe 24/03/2017 katika kijiji cha Mkwese Wilaya ya Manyoni.
April 16 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA IRINGA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Iringa uliofanyika tarehe 21/03/2017 katika kijiji cha Image Wilaya ya Kilolo.
April 15 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA SHINYANGA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Shinyanga uliofanyika tarehe 02/04/2017 katika kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu.
April 15 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA MBEYA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Mbeya uliofanyika tarehe 20/03/2017 katika Kijiji cha Ilinga, Kata ya Ibigi, Wilaya ya Rungwe.