May 10 News REA News - Toleo la Pili News REA News ni chapisho la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) linaloonesha matokeo kwenye jamii yanayotokana na matumizi sahihi ya nishati bora katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
April 20 Press Releases UFAFANUZI WA REA KUHUSU TAARIFA ZILIZOTOLEWA KWENYE MAGAZETI YA JAMBO LEO NA MWANAHALISI YA IJUMAA TAREHE 15 APRILI 2016, NA HABARI LEO LA JUMAMOSI TAREHE 16 APRILI 2016 Announcements, Announcements Press Releases Wakala wa Nishati Vijijini unatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizoandikwa kwenye magazeti ya Jambo Leo na Mwanahalisi ya Ijumaa Tarehe 15 Aprili 2016 pamoja na Gazeti la Habari Leo la Jumamosi Tarehe 16 Aprili 2016.
March 22 Tenders REVIEWED GENERAL PROCUREMENT NOTICE (GPN) FOR 2015/2016 FINANCIAL YEAR Announcements, Business The Rural Energy Agency is now issuing the Revised General Procurement Notice for the purpose of informing Bidders, Suppliers, Service Providers and General Public on tender opportunities during Financial Year 2015/2016.
March 21 Press Releases KIKAO CHA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF. SOSPETER MUHONGO NA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA PILI - TAREHE 29 HADI 31 MACHI, 2016 Announcements, Announcements Press Releases Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (MB) ameandaa kikao cha siku tatu kwa ajili ya kukutana na wakandarasi wakubwa (Main Contractors) na wakandarasi wadogo (Sub-Contractors) wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini Awamu ya Pili tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016.
March 11 Announcements Norway’s Deputy Minister for Foreign Affairs visits Tanzania Domestic Biogas Programme The Norwegian Deputy Minister for Foreign Affairs, Ms. Tone Skogen visited the Tanzania Domestic Biogas Programme (TDBP) as part of her official visit to Tanzania.
February 4 Announcements EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Announcements The Rural Energy Agency (REA) invites applications from dynamic, energetic and proactive Tanzanians with appropriate technical skills, competences and experience to fill the vacant positions for Training & Capacity Building Officer and Internal Auditor.
August 7 News MEM NEWS BULLETTIN: REA YATAKA USHIRIKIANO TAASISI ZA KIFEDHA, SEKTA BINAFSI "Serikali peke yake haiwezi kufanya kazi hiyo tunahitaji kushirikiana na Sekta Binafsi, Taasisi za Kifedha na Washirika wa Maendeleo. Uhakika wa umeme utawezesha wananchi wengi zaidi kujiingiza katika shughuli za kiuchumi” Dkt. Lutengano Mwakahesya
August 5 Announcements MAFUNZO YA KUENDELEZA TEKNOLOJIA ZA NISHATI JADIDIFU Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2014/2015 umepanga kutoa mafunzo ya hadi wiki mbili kwa wajasiriamali wanaoendeleza vyanzo vya umeme unaofuliwa kutokana na nishati jadidifu. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo mafundi na waendelezaji wa teknolojia za nishati bora waliopo maeneo ya vijijini ili waweze kutoa huduma bora.