MH. JANUARI YUSUF MAKAMBA (MB) ATEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI

SALAMU ZA PONGEZI

Monday, September 13, 2021|Number of views (1065)|Categories: News, Events, Announcements
MH. JANUARI YUSUF MAKAMBA (MB) ATEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI

SALAMU ZA PONGEZI

Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tunakupongeza Mheshimiwa January Yusuf Makamba kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa Waziri wa Nishati.

Tunaahidi kukupa ushirikiano katika kutekeleza majukumu yako hususan katika sekta ndogo ya nishati vijijini”.


Please login or register to post comments.