Register
Login
Home
Home
Home
News Center
Announcements
Tenders & Business
Events
Events Calendar
News Center
News Center
Projects
The Rural Energy Fund
Projects
Projects
Resources
E-Library
Application Forms
LRTC2014 Online Proposal Form
RBF Online Grant Application Form
Resources
Resources
About Us
About REA
Organization Structure
The Rural Energy Board
About Us
About Us
Contact Us
Contact Us
Contact Us
News Center
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI MPYA YA NISHATI VIJIJINI (REB)
Monday, February 18, 2019
|
Number of views (12105)
|
Categories:
News
,
Announcements
,
Business
Waziri wa Nishati, Mh. Dk. Medard Kalemani amezindua Bodi ya Nishati Vijijini (REB), leo tarehe 18 Februari, 2019 itakayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kutoa maelekezo mbalimbali yatakayopelekea kazi ya usambazaji umeme vijijini kufanyika kwa kasi na ufanisi..
Uzinduzi wa Bodi hiyo umefanyika jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati akiwemo Naibu Waziri wa Nishati, Mh. Subira Mgalu; Katibu Mkuu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua; Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga; Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Raphael Nombo; Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Amos Maganga na watendaji wengine kutoka Wizara na Wakala wa Nishati Vijijini.
Mh. Waziri wa Nishati alieleza kuwa, Bodi mpya ya Nishati Vijijini imeundwa kufuatia kuvunjwa kwa Bodi iliyopita tarehe 12 Novemba, 2018 kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo na kushindwa kusimamia vizuri Wakala wa Nishati Vijijini.
Wajumbe wapya wa Bodi hiyo ni kama ifuatavyo:
Dr. Andrew Marceline Komba - Mjumbe
Ms. Dailin Leonard Mgweno - Mjumbe
Mr. Oswald Martin Urasa - Mjumbe
Mr. Henry Mwatwinzwa Mwimbe - Mjumbe
Eng. Styden Rwebangira - Mjumbe
Mr. Louis Passian Accaro - Mjumbe
Mr. Francis M. Songela - Mjumbe
Mkurugenzi Mkuu
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Mawasiliano Towers, Ghorofa ya 2
Barabara ya Sam Nujoma
S. L. P 7990
Dar es Salaam, Tanzania
Barua Pepe: info@rea.go.tz
Simu: +255 22 2412001, +255 22 2412002, +255 22 2412003
Nukushi: +255 22 2412007
Related articles
Reviewed TEDAP Credit Line On-Lending Interest Rate
RFP: Lighting Rural Tanzania Competition 2012 (LRTC2012)
Orodha ya Miradi ya Umeme Vijijini kwa Mwaka wa Fedha 2013-14
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI: MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2013-14
MPANGO WA KULETA MATOKEO MAKUBWA SASA KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Search
Categories
RSS
Expand/Collapse
News
(95)
RSS
Expand/Collapse
Events
(21)
RSS
Expand/Collapse
Announcements
(94)
RSS
Expand/Collapse
Press Releases
(12)
RSS
Expand/Collapse
Reports
(9)
RSS
Expand/Collapse
Speeches
(3)
RSS
Expand/Collapse
Business
(61)
«
May 2022
»
Mon
Tue
Wed
Thu
Fri
Sat
Sun
25
26
27
28
29
30
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
1
2
3
4
5
Archive
2022, February
(2)
2021, December
(3)
2021, November
(1)
2021, October
(1)
2021, September
(6)
2021, August
(1)
2021, June
(2)
2021, March
(1)
2020, December
(3)
2020, November
(1)
2020, October
(1)
2020, September
(2)
2020, August
(4)
2020, May
(2)
2020, April
(1)
2020, January
(2)
2019, November
(3)
2019, October
(2)
2019, September
(2)
2019, August
(1)
2019, July
(3)
2019, June
(3)
2019, May
(1)
2019, April
(1)
2019, March
(1)
2019, February
(2)
2018, December
(2)
2018, November
(1)
2018, August
(1)
2018, June
(2)
2018, May
(3)
2018, April
(3)
2018, March
(3)
2018, February
(1)
2018, January
(1)
2017, December
(1)
2017, November
(2)
2017, October
(2)
2017, July
(4)
2017, June
(4)
2017, May
(4)
2017, April
(9)
2017, March
(1)
2017, February
(2)
2017, January
(1)
2016, December
(1)
2016, November
(2)
2016, October
(2)
2016, September
(2)
2016, August
(5)
2016, July
(3)
2016, June
(1)
2016, May
(2)
2016, April
(1)
2016, March
(3)
2016, February
(3)
2016, January
(5)
2015, December
(1)
2015, October
(3)
2015, August
(2)
2015, July
(1)
2015, March
(2)
2014, December
(1)
2014, October
(1)
2014, August
(1)
2014, May
(2)
2014, April
(2)
2014, January
(1)
2013, December
(1)
2013, October
(1)
2013, August
(3)
2013, July
(2)
2013, June
(2)
2013, May
(6)
2013, April
(1)
2013, January
(1)
2012, December
(1)
2012, September
(1)
2012, May
(1)
2012, March
(1)
2012, January
(2)
2011, December
(1)