Awasisitiza kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na Maarifa Mkurugenzi Mkuu REA Awafunda Watumishi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka watumishi kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa ili... 10
Shilingi bilioni 5.8 yawezesha utekelezaji wa mradi huo Shule za Sekondari 52; Chuo cha VETA Kufungiwa Miundombinu ya Nishati Safi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA... 33
News Shule za Sekondari 52; Chuo cha VETA Kufungiwa Miundombinu ya Nishati Safi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA...
Announcements Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Nishati Safi Karibu katika Hafla ya Kusaini Mikataba ya Kufunga Miundombinu ya Nishati Safi katika Shule za Sekondari 52 pamoja na Chuo cha VETA.
News Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Waziri na Naibu Waziri wa Nishati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na Naibu...
News REA Imefanya Kazi Kubwa ya Kufikisha Huduma za Nishati Vijijini Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kufikisha umeme kwenye vijiji na maeneo ya pembezoni...