JARIDA LA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) - TOLEO LA MWEZI SEPTEMBA 2021
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wanakuletea Jarida linalokupa habari namna Nishati inavyochochea Maendeleo ya kiuchumi na kijamii vijijini nchini Tanzania. Hili ni Toleo la Mwezi Septemba 2021.
Mkurugenzi Mkuu
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
Jengo la PSSSF, Ghorofa ya 7
Barabara ya Makole
S. L. P 2153
Dodoma, Tanzania
Barua pepe: info@rea.go.tz