September 30 Events DG MPYA REA ATAKA UTENDAJI KAZI WENYE BIDII, MAARIFA NA UADILIFU Mhandisi Said amesema matumaini ya Watanzania, hasa wa vijijini, yanategemea dhamana ambayo REA imepewa.
September 30 News MHANDISI HASSAN SEIF SAIDY ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MKUU WA REA News Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Hassan Seif Saidy kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
September 13 Announcements SALAMU ZA PONGEZI MH. JANUARI YUSUF MAKAMBA (MB) ATEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Mheshimiwa Januari Yusuf Makamba (Mb) kuwa Waziri wa Nishati.
September 7 Tenders MAGAZINE FOR RURAL ENERGY AGENCY (REA) - RELEASE OF SEPTEMER 2021 Business, News The Rural Energy Agency is issuing the September 2021 Magazine for Energizing Rural Transformation in Tanzania.
September 7 Tenders JARIDA LA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) - TOLEO LA MWEZI SEPTEMBA 2021 Business, News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wanakuletea JARIDA linalokupa habari namna Nishati inavyochochea Maendeleo ya kiuchumi na kijamii vijijini nchini Tanzania. Hili ni Toleo la Mwezi Septemba 2021.
September 3 Tenders TIME EXTENSION FOR CALL for PROPOSAL: Invitation for Financing Renewable Energy Investments in Green Mini and Micro Grids The Rural Energy Agency (REA) announces time-extension for submission of applications for financing support from Renewable Energy Investment Facility (REIF) up to 10th September 2021, at 11:00am.