February 2 News UZINDUZI WA UZINDUZI WA MRADI KABAMBE WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU KIGOMA Waziri wa Nishati, Mh. Dk. Medard M. Kalemani (Mb) amezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Kigoma na kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini katika Mikoa ya Katavi na Rukwa.