July 29 News Vijiji 506 Vimeunganishwa Kati ya Vijiji 519 Sawa Na 97.49% Zaidi ya Bilioni 23 Kutumika Kusambaza Umeme Kilimanjaro Vijijini Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imejipanga kuhakikisha ifikapo Desemba 2024 vijiji vyote 519 Mkoani Kilimanjaro viwe vimeunganishwa na umeme.
July 28 News Mitungi 83,500 Yenye Thamani ya Bilioni 3.5 Imetolewa na REA Mpaka Sasa Serikali Kuongeza Matumizi ya Gesi ya Kupikia Nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inayo mikakati ya kuhakikisha inaongeza matumizi ya gesi ya kupikia nchini.
July 28 News REA Yapongezwa Kufikisha Umeme Katika Shule Vijijini Taasisi Zote za Huduma za Kijamii Kuunganishwa na Umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii kama shule na vituo vya afya pamoja na nyumba za ibada zitafikishiwa umeme.
July 28 Events Limeongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Bonanza la Nishati 2024 Biteko ameeleza kufurahishwa kwake na morali waliyokuwa nayo Watumishi ambao walishiriki kikamilifu katika michezo mbali. "Maneno Kidogo Vitendo Zaidi" ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.
July 21 News Kati ya Zaidi ya Vijivi 12,000 Nchi Nzima Vijiji 151 Vimebaki Nchi Nzima Kupata Huduma ya Umeme – Kapinga Ni vijiji 151 tu nchi nzima ndio ambavyo bado havijafikiwa na huduma ya umeme kati ya Vijiji zaidi ya 12,000 ambapo wilayani Ludewa mkoani Njombe vimebaki Vijiji nane.
July 4 National 80 Percent of Tanzanians to Use Clean Cooking Solutions by the Year 2034 National Clean Cooking Strategy (2024 – 2034) National The Government of the United Republic of Tanzania, in collaboration with various stakeholders has prepared the National Clean Cooking Strategy. The strategy aims to ensure that 80 percent of Tanzanians use clean cooking solutions by the year 2034.