December 17 Events Ni tuzo ya ubora katika kushughulikia malalamiko kwa Wananchi na kutoa mrejesho REA Yashinda Tuzo ya Utoaji Huduma kwenye Utumishi wa Umma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeshinda tuzo ya Taasisi Bora inayoshughulikia malalamiko ya Wateja pamoja na kutoa mrejesho kwa wakati katika utoaji wa huduma kwa umma (Watanzania) kwa mwaka 2025.
July 28 Events Limeongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Bonanza la Nishati 2024 Biteko ameeleza kufurahishwa kwake na morali waliyokuwa nayo Watumishi ambao walishiriki kikamilifu katika michezo mbali. "Maneno Kidogo Vitendo Zaidi" ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.
February 14 Events Mgeni Rasmi: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tukio Kubwa la Utiaji Saini Mikataba ya Kupeleka Umeme Vijijini Usikose kufuatilia tukio kubwa la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme zaidi vijijini.
May 31 Events Zaidi ya Shilingi Trilioni 4 zimetolewa hadi sasa Wabia wa Maendeleo Waahidi Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kutekeleza Miradi ya REA Kusambaza Nishati Vijijini News, Events Serikali na Wabia wa Maendeleo (EDPG) wamechangia zaidi ya Shilingi Trilioni 4 katika miradi ya nishati vijijini inayotekelezwa na REA.
May 24 Events Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Atembelea Maonesho ya Wizara ya Nishati News, Events Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewashauri Waheshimiwa Wabunge kutumia fursa ya Maonesho ya majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kupata taarifa za utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini katika maeneo yao.
February 1 Events BODI YA REA YAAGWA NA KUTUNUKIWA TUZO KWA UTUMISHI WENYE TIJA News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imehitimisha muda wake kisheria na kupongezwa kwa kutekeleza majukumu yake kwa juhudi, weledi, uadilifu na uzalendo.
December 27 Events MPANGO KABAMBE UPELEKAJI NISHATI VIJIJINI WABAINISHWA News, Events Imeelezwa kuwa Mpango Kabambe wa Kupeleka Nishati Vijijini umelenga kuwanufaisha wananchi kupitia usambazaji umeme pamoja na nishati bora ya kupikia.
December 23 Events DC BUHIGWE NA VIONGOZI REA WAJADILI MIRADI YA UMEME VIJIJINI News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, wamemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina na kujadiliana kuhusu utekelezwaji miradi ya umeme vijijini, wilayani humo.