Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
RSS
«May 2022»
MonTueWedThuFriSatSun
2526272829301
2345
REA WAADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI

REA WAADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kupanda miti zaidi ya 2000 katika Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili ya Milembe.

Read more
6

78
9101112131415
16171819202122
2324
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Atembelea Maonesho ya Wizara ya Nishati

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Atembelea Maonesho ya Wizara ya Nishati

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewashauri Waheshimiwa Wabunge kutumia fursa ya Maonesho ya majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kupata taarifa za utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini katika maeneo yao.
Read more
2526272829
3031
Wabia wa Maendeleo Waahidi Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kutekeleza Miradi ya REA Kusambaza Nishati Vijijini

Wabia wa Maendeleo Waahidi Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kutekeleza Miradi ya REA Kusambaza Nishati Vijijini

Serikali na Wabia wa Maendeleo (EDPG) wamechangia zaidi ya Shilingi Trilioni 4 katika miradi ya nishati vijijini inayotekelezwa na REA.

Read more
12
Wananchi wa Kata ya Mabogini waishukuru Serikali kwa Kupata Umeme

Wananchi wa Kata ya Mabogini waishukuru Serikali kwa Kupata Umeme

Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro wameshukuru Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wabia wa Maendeleo wanaofadhili miradi ya kusambaza nishati vijijini kwa kufikishiwa huduma ya nsihati ya umeme katika vijiji na vitongoji vyao.

Read more
3
Hotuba ya Waziri wa Nishati Mhe. January Y. Makamba Katika Bunge la Bajeti 2022/23

Hotuba ya Waziri wa Nishati Mhe. January Y. Makamba Katika Bunge la Bajeti 2022/23

Waziri wa Nishati Mhe. January Y. Makamba akiwasilisha bungeni leo, Tarehe 2 Juni, 2022 bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2022/23.

Read more
45

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
PSSSF Building, 7th Floor
Makole Road
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top