11/29/2019 11:00 AM - 12/28/2019 11:00 AM Tenders APPLICATION DEADLINE EXTENDED TO FRIDAY, JANUARY 24TH, 2020 RBF GRANTS PROGRAMME 2019, SECOND CALL FOR APPLICATIONS (RBF2019C2) Announcements, Business 11/29/2019 11:00 AM - 12/28/2019 11:00 AM The Rural Energy Agency (REA) invites renewable mini- and micro grid Project Developers to submit applications for result based grants to support accelerated access to sustainable energy services in un-served rural areas of mainland Tanzania.
November 27 Press Releases TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTAFITI WA HALI YA UPATIKANAJI NA MATUMIZI YA NISHATI YA UMEME TANZANIA BARA KWA MWAKA 2019-2020 Announcements, Announcements Press Releases Serikali inafanya Utafiti wa Hali ya Upatikanaji na Matumizi ya Umeme Tanzania Bara kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (National Bureau of Statistics) Mwaka 2019-2020.
November 16 Tenders Updated Consultants Database for Tanzania Mini-Grid Renewable Energy Project The Rural Energy Agency is developing a Development Finance and Impact Investors Catalogue to assist small Renewable Energy generation and mini-grid projects to find suitable funding options for the development and execution of their projects.
October 30 Announcements Wakandarasi wa REA Wahimizwa Kuunganishia Wateja Umeme kwa Kutumia UMETA Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini, Mhandisi Styden Rwebangira amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya III Mzunguko wa I kuwaunganisha wananchi kwa kutumia kifaa cha Umeme Tayari (UMETA) ambacho ni mbadala wa kufanya wiring katika nyumba.
October 28 Announcements Waziri wa Nishati Aweka Ukomo wa Kuagiza Vifaa Vya Ujenzi wa Miradi ya Nishati Announcements, News Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme (TANESCO) kuweka mpango ambao utawezesha vifaa vyote vinavyotumika katika ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme vinatengenezwa hapa nchini.
September 28 Announcements Waziri wa Nishati Akutana na Bodi na Wafanyakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini Waziri wa Nishati Mh. Dkt. Merdad Kalemani (Mb) ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuwahamasisha wananchi wa vijijini ambako miradi ya kusambaza umeme inatekelezwa kutumia umeme kwa ajili ya kujenga viwanda vya kusindika mali ghafi ambazo zinazalishwa vijijini.
September 20 Announcements Serikali Imetoa Shilingi Billioni 50 kwa Waendelezaji Wadogo Wadogo wa Miradi ya Nishati Jadidifu Serikali imetoa takribani Shilingi Bilioni 50 kwa ajili ya kuwawezesha waendelezaji wadodo wadogo kwenye miradi ya nishati jadidifu, ambazo ni umeme unaozalishwa kutokana na vyanzo vya jua, upepo, maporomoko ya maji pamoja na tungamo taka katika maeneo yaliyopo vijijini Tanzania Bara.
August 10 Announcements Mradi Mpya wa Kusambaza Umeme Pembezoni mwa Miji na Majiji Wazinduliwa Serikali imezindua mradi mpya wa kusambaza umeme kwenye vijiji na mitaa viliyopo pembezoni mwa miji na majiji.Uzinduzi huo umefanyika na Waziri wa Nishati Mh. Dk Medard Kalemani pamoja na Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Mgalu katika maeneo ya Kigamboni, Kisarawe, Mkuranga, Kibaha, Mlandizi, Bagamoyo na Chalinze.