TANGAZO: MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YANAYOHUSU KUENDELEZA TEKNOLOJIA ZA NISHATI JADIDIFU VIJIJINI
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2013/2014 umepanga kutoa mafunzo ya hadi wiki mbili kwa mafundi na waendelezaji wa vyanzo vya umeme unaofuliwa kutokana na nishati jadidifu.
Read more