9/23/2016 11:00 AM - 11/4/2016 11:00 AM Tenders RBF GRANTS PROGRAMME 2016, FIRST CALL FOR APPLICATIONS (RBF2016C1) Announcements, Business 9/23/2016 11:00 AM - 11/4/2016 11:00 AM The Rural Energy Agency (REA) invites renewable mini- and micro grid Project Developers to submit applications for result based grants to support accelerated access to sustainable energy services in un-served rural areas of mainland Tanzania.
9/20/2016 Events Imeandaliwa na Ubalozi wa Norway Nchini Tanzania Semina ya Fursa za Uwekezaji Katika Sekta ya Nishati Nchini News, Events 9/20/2016 Ubalozi wa Norway nchini umeandaa semina ya siku moja iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 20 Septemba, 2016 kwa ajili kuelezea fursa za uwekezaji katika sekta ya nishati nchini. Semina hiyo ilihudhuriwa na washiriki kutoka makampuni 14 kutoka Norway na wadau wengine mbalimbali.