Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
Host 8747

TANGAZO: MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YANAYOHUSU KUENDELEZA TEKNOLOJIA ZA NISHATI JADIDIFU VIJIJINI

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2013/2014 umepanga kutoa mafunzo ya hadi wiki mbili kwa mafundi na waendelezaji wa vyanzo vya umeme unaofuliwa kutokana na nishati jadidifu. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo mafundi na waendelezaji wa teknolojia za nishati bora waliopo maeneo ya vijijini ili waweze kutoa huduma bora.

Director General
Rural Energy Agency - REA
Mawasiliano Towers, 2nd Floor
Sam Nujoma Road
P. O. Box 7990
Dar es Salaam, Tanzania

E-Mail: info@rea.go.tz
Tel: +255 22 2412001, +255 22 2412002, +255 22 2412003
Fax: +255 22 2412007

Share

Print

Documents to download

«March 2026»
MonTueWedThuFriSatSun
2324252627281
2345678
9101112131415
16171819
Wananchi Wanayo Matumaini Makubwa na REA – Mhandisi Saidy

Wananchi Wanayo Matumaini Makubwa na REA – Mhandisi Saidy

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumaini na Serikali kupitia REA katika kuwaboreshea hali ya maisha na amewataka Watumishi wa Wakala kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa ili kutimiza malengo ya Serikali kuhudumia wananchi wake.

Read more
202122
23242526272829
303112345

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
REA Building
28 Medeli Street
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top