Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
Spika Mstaafu Anne Makinda Aipongeza REA Kuhamasisha Matumizi Ya Nishati Safi ya Kupikia
Iddy Mwema 155

Spika Mstaafu Anne Makinda Aipongeza REA Kuhamasisha Matumizi Ya Nishati Safi ya Kupikia

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda ametembelea Maonyesho ya 50 Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam ikiwemo banda la Wakala wa Nishati Vijini (REA) na kuipongeza REA kwa uhamasishaji wa wananchi katika matumizi ya nishati safi ya kupikia maeneo ya vijijini.

 

Akiongea na Waandishi wa Habari leo baada ya kupata taarifa za miradi pamoja na kujionea miradi mbalimbali inayotekelezwa na REA, Spika mtaafu Anna Makinda ameendelea kuhamasisha wananchi kutembelea banda la REA na kujifunza Teknolojia mbalimbali za nishati safi ya kupikia ili kuendelea kulinda mazingira pamoja na afya za wananchi.

Share

Print

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
REA Building
28 Medeli Street
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top