Monday, March 21, 2016 Admin.Frank Mugogo 8893 News, Announcements, Press Releases KIKAO CHA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF. SOSPETER MUHONGO NA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA PILI - TAREHE 29 HADI 31 MACHI, 2016 Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (MB) ameandaa kikao cha siku tatu kwa ajili ya kukutana na wakandarasi wakubwa (Main Contractors) na wakandarasi wadogo (Sub-Contractors) wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini Awamu ya Pili kwa lengo la kutathimini maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo.Vikao hivyo vitafanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016 katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Nishati na Madini. Kila mkandarasi azingatie muda uliooneshwa kwenye ratiba na barua walizotumiwa.Imetolewa na:MKURUGENZI MKUUWAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)20 SAM NUJOMA, 14414P. O. BOX 7990DAR-ES-SALAAM. Tags Announcements Announcements Press Releases Share Print Documents to download KIKAO CHA MH. WAZIRI NA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA PILI - TAREHE 29 HADI 31 MACHI, 2016(.pdf, 42.95 KB) - 479 download(s) Switch article Norway’s Deputy Minister for Foreign Affairs visits Tanzania Domestic Biogas Programme Previous Article REVIEWED GENERAL PROCUREMENT NOTICE (GPN) FOR 2015/2016 FINANCIAL YEAR Next Article