Monday, June 17, 2019 Admin.Frank Mugogo 12679 News, Announcements RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEMTEUA WAKILI JULIUS B. KALOLO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dr. John Pombe Magufuli amemteua Wakili Julius B. Kalolo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini.Hii ni baada ya Mheshimiwa Rais kutengua uteuzi wa Bw. Michael Pius Nyagoga kuanzia tarehe 17 Juni, 2019.Mkurugenzi MkuuWakala wa Nishati Vijijini (REA)Jengo la LAPF, Ghorofa ya 7S. L. P 2153Dodoma, TanzaniaBarua pepe: info@rea.go.tzSimu: +255 262323504, +255 262323506, +255 262323507 Tags Announcements News Share Print Switch article BODI YA WAKURUGENZI YA REA WAKUTANA NA WAKANDARASI, PAMOJA NA WATENGENEZAJI WA VIFAA VYA MRADI WA UMEME VIJIJINI Previous Article REPDF Lot 1 Consultant Database Next Article