TANGAZO LA MSIBA WA MFANYAKAZI WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)
BODI YA NISHATI VIJIJINI (REB), MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI MWENZETU, BI. HARRIET N. MWINYIMVUA KILICHOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO, TAREHE 09/01/2018 KATIKA HOSPITALI YA MASSANA – MBEZI BEACH BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU, MBEZI BEACH KARIBU NA HOSPITALI YA MASSANA.
BODI, MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA WAKALA TUNATOA POLE KWA FAMILIA, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOGUSWA NA MSIBA HUU.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
IMETOLEWA NA:
MKURUGENZI MKUU
WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)
09/01/2018