Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Salome Wycliffe Makamba wakati wa Hafla ya kuwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma Novemba 18, 2025