Tuesday, May 10, 2016 Admin.Frank Mugogo 6795 News REA News - Toleo la Pili REA News ni chapisho la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) linaloonesha matokeo kwenye jamii yanayotokana na matumizi sahihi ya nishati bora katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. REA inawezesha utekelezaji wa miradi ya nishati bora vijijini Tanzania Bara ambayo inaboresha huduma za jamii katika nyanja za elimu, afya, kilimo na nyinginezo. Upatikanaji wa nishati bora vijijini huongeza ajira na kuongeza kipato kwa wajasiriamali.Imetolewa na:MKURUGENZI MKUUWAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)20 SAM NUJOMA, 14414 P. O. BOX 7990DAR-ES-SALAAM. Tags News Share Print Documents to download REA News - Toleo la Pili(.pdf, 4.58 MB) - 2228 download(s) Switch article UFAFANUZI WA REA KUHUSU TAARIFA ZILIZOTOLEWA KWENYE MAGAZETI YA JAMBO LEO NA MWANAHALISI YA IJUMAA TAREHE 15 APRILI 2016, NA HABARI LEO LA JUMAMOSI TAREHE 16 APRILI 2016 Previous Article EXPRESSION OF INTEREST : INDIVIDUAL CONSULTING SERVICES TO REVIEW THE RURAL ENERGY ACT, 2005 AND THE RURAL ENERGY REGULATIONS, 2011 & CONDUCT SERVICE DELIVERY SURVEY FOR THE RURAL ENERGY AGENCY Next Article