UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA TANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Tanga uliofanyika tarehe 06/03/2017 katika kijiji cha Zingibari Wilaya ya Mkinga.
Read more