December 17 Events Ni tuzo ya ubora katika kushughulikia malalamiko kwa Wananchi na kutoa mrejesho REA Yashinda Tuzo ya Utoaji Huduma kwenye Utumishi wa Umma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeshinda tuzo ya Taasisi Bora inayoshughulikia malalamiko ya Wateja pamoja na kutoa mrejesho kwa wakati katika utoaji wa huduma kwa umma (Watanzania) kwa mwaka 2025.
December 5 News Shilingi bilioni 5.8 yawezesha utekelezaji wa mradi huo Shule za Sekondari 52; Chuo cha VETA Kufungiwa Miundombinu ya Nishati Safi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA kimoja hapa nchini.
December 3 Announcements Shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Nishati Safi Karibu katika Hafla ya Kusaini Mikataba ya Kufunga Miundombinu ya Nishati Safi katika Shule za Sekondari 52 pamoja na Chuo cha VETA.