The Rural Energy Agency (REA) is a Government institution established under the Rural Energy Act, 2005. Its main role is to promote and facilitate access to modern energy services in rural areas of Mainland Tanzania. The Agency is inviting applications from dynamic, energetic and proactive Tanzanians with appropriate technical skills and experience to fill the following vacant positions
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2013/2014 umepanga kutoa mafunzo ya hadi wiki mbili kwa mafundi na waendelezaji wa vyanzo vya umeme unaofuliwa kutokana na nishati jadidifu.
Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini – Awamu ya Kwanza. Miradi Mingine inayotekelezwa na Wakandarasi. Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini – Awamu ya Pili.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo, ametaja miradi ya kipaumbele itakayotoa matokeo ya haraka ifikapo 2015/2016, na kunufaisha wananchi katika mikoa mbalimbali nchini. Prof. Muhongo aliitaja miradi hiyo mikubwa jijini Dar es Salaam mbele ya wadau waliokusanyika katika kongamano la wazi la siku moja kwa lengo la kukusanya maoni kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo.
Watanzania tujitokeze kumuunga mkono Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano utakaofanyika Dar es Salaam kuanzia tarehe 28 Juni, 2013 hadi 01 Julai, 2013 maarufu kama SMART PARTNERSHIP INTERNATIONAL DIALOGUE.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mbunge), anawaalika wadau wote wa Sekta ya Nishati na Madini kote nchini kwenye kongamano la wazi litakalofanyika siku ya Jumatano Julai 3, 2013 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Mwenge Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
Hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), akiwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2013/14.
Orodha miradi ya awamu ya pili ya mradi kabambe wa kusambaza umeme vijijini ambayo inategemewa kupata ufadhili wa mfuko wa nishati vijijini kwa mwaka wa fedha 2013/14.