December 23 Events DC BUHIGWE NA VIONGOZI REA WAJADILI MIRADI YA UMEME VIJIJINI News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, wamemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina na kujadiliana kuhusu utekelezwaji miradi ya umeme vijijini, wilayani humo.
December 23 Events WAZIRI MAKAMBA ATAMANI MWELEKEO MPYA REA News, Events Waziri wa Nishati January Makamba amewaelekeza viongozi na wafanyakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza nguvu katika aina nyingine za nishati kama inavyofanyika kwenye umeme.
November 10 Events REA NEWS ISSUE #3 - NOVEMBER 2021 News, Events REA News Magazine Issue #3, November 2021 / Jarida la Wakala wa Nishati Vijijini, REA News Toleo #3, Novemba 2021.
December 14 Events KIPAUMBELE CHA SERIKALI KATIKA KUSAMBAZA NISHATI VIJIJINI NI KUPELEKA UMEME KATIKA VITONGOJI News, Events Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Medard Kalemani amesema kipaumbele cha Serikali katika kusambaza nishati vijijini ni kupeleka umeme katika vitongoji.
October 8 Events Bodi ya Nishati Vijijini Yatembelea Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imefanya ziara ya siku moja katika Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere uliopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo ambao ukikamilika utawezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini.
September 29 Events Miradi ya Kusambaza Umeme Vijijini Sasa ni Kitongoji kwa Kitongoji News, Events Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Merdad Kalemani amezindua Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili tarehe 24 Septemba 2020. Mradi huu unalenga kuongeza wigo wa usambazaji umeme kwenye vitongoji katika vijiji vilivyofikiwa na miundombinu ya umeme.
August 29 Events BODI YA NISHATI VIJIJINI HAIJARIDHISHWA NA KAZI YA MKANDARASI MKOA WA SINGIDA News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) haijaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini katika Wilaya ya Iramba na Mkalama mkoani Singida unayotekelezwa na Kampuni ya Emerc and Dynamic Engineering.
August 27 Events SUMA JKT WAPONGEZWA KWA KUJENGA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo amekipongeza kikosi cha Suma JKT ambacho kimepewa kazi kujenga miundombinu ya kusambaza umeme katika kata ya Kwa Mtoro na Farkwa.