November 26 News Rais Samia Atoa Ruzuku ya Kufanya Wiring Miradi ya Umeme Vijijini News Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaanza kutekeleza mradi wa kutandaza nyaya za umeme (wiring) kwa wananchi kupitia miradi ya kusambaza umeme inayotekelezwa na wakala kote nchini.