Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akutana na Wataalam Kutoka Wizara ya Nishati
Frank A. Mugogo 674

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akutana na Wataalam Kutoka Wizara ya Nishati

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Juma Sweda  anayemuwakilisha Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Anthony Mtaka, leo Machi 15, 2025 amefanya mazungumzo mafupi na viongozi kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO). 

Katika kikao hicho, Wizara ya Nishati iliongozwa na Mha. Ahmed Chinemba aliyemuwakilisha Kamishna wa Umeme Tanzania, Mha.Jones Olotu ambae ni Mkurugenzi wa Umeme Vijijini aliongoza timu ya Wakala wa Nishati Vijijini na TANESCO iliongozwa na Mha.Leo Mwakatobe ambae ni Meneja wa Mkoa Njombe. 

Mazungumzo hayo yamelenga matayarisho ya ziara ya kupokea wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ambayo itafanya ziara ya siku 4 katika Mkoa wa Njombe kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini.

Imetolewa na:

Mkurugenzi Mkuu
Wakala wa Nishati Vijijini
Jengo la REA
28 Mtaa wa Medeli
Dodoma

Share

Print
«October 2026»
MonTueWedThuFriSatSun
2829301234
56
REA Yawataka Waendelezaji Miradi Ya Kuzalisha Umeme Kwa Maji Kuchukua Tahadhari Ya El Nino

REA Yawataka Waendelezaji Miradi Ya Kuzalisha Umeme Kwa Maji Kuchukua Tahadhari Ya El Nino

Wakala wa Nishati Vijijini REA imejipanga  kuendelea kuimarisha na kuwezesha Waendelezaji wa Miradi Midogo ya Kuzalisha Umeme kwa Maporomoko ya Maji, ikiwemo kuhakikisha miradi hiyo inalindwa dhidi ya athari zinazoweza kusababishwa na mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa kunyesha katika kipindi hiki.

Kauli hiyo imetolewa leo Oktona 6, 2026 na Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala wa REA, Mhandisi Advera Mwijage, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya Mradi wa Umeme wa Ijangala wenye uwezo wa kuzalisha Kilowati 360, uliopo katika Kijiji cha Masisiwe, Wilaya ya Makete mkoani Njombe.

Read more
7891011
12131415161718
19202122232425
2627282930311
2345678

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
REA Building
28 Medeli Street
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top