Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), Waziri wa Nishati na Madini, amemteua Mwenyekiti na Wajumbe Wapya wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kutokana na Mamaka aliyonayo chini ya Kifungu Nambari 5(1) (b) Nmbari 8(3) cha Sheria ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.
Wjumbe wapya wateuliwa kwa kipdindi hicho ni:
1. Dkt. Gideon Kaunda - Mwenyekiti
2. Eng. Innocent G. Luoga - Mjumbe
3. Bi. Happiness Mhina - Mjumbe
4. Bi. Stella Mandago - Mjumbe
5. Bi. Scholastica H. Jullu - Mjumbe
6. Bi. Amina H. Chinja - Mjumbe
7. Bw. Theobad Sabi - Mjumbe
8. Bw. Michael P. Nyagonga - Mjumbe
Uteuzi huo ni wa kipindi cha mika mitatu (3) kuanzia tarehe 1 April, 2017.
Imetolewa na:
Prof. James E. Mdoe
Kaimu Katibu Mkuu
Wizara ya Nishati na Madini
Barabara ya Sam Nujoma
S. L. P 422
40474 Dodoma, Tanzania