August 8 News Serikali Imetoa Ruzuku Katika Mitungi ya Gesi (LPG) Na Majiko Banifu Mkurugenzi Mkuu REA Ahamasisha Wananchi Kutumia Nishati Safi ya Kupikia News Mhandisi Saidy ametoa rai hiyo Agosti 8, 2024 mbele ya wananchi waliotembelea Banda la REA katika Maonesho ya Siku Kuu ya Wakulima (Nane Nane), Nzuguni Jijini Dodoma.
August 4 National Atembelea Kitua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Ifakara Rais Samia Aipongeza REA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi nzuri wanazofanya.
July 29 News Vijiji 506 Vimeunganishwa Kati ya Vijiji 519 Sawa Na 97.49% Zaidi ya Bilioni 23 Kutumika Kusambaza Umeme Kilimanjaro Vijijini Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imejipanga kuhakikisha ifikapo Desemba 2024 vijiji vyote 519 Mkoani Kilimanjaro viwe vimeunganishwa na umeme.
July 28 News Mitungi 83,500 Yenye Thamani ya Bilioni 3.5 Imetolewa na REA Mpaka Sasa Serikali Kuongeza Matumizi ya Gesi ya Kupikia Nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inayo mikakati ya kuhakikisha inaongeza matumizi ya gesi ya kupikia nchini.
July 28 News REA Yapongezwa Kufikisha Umeme Katika Shule Vijijini Taasisi Zote za Huduma za Kijamii Kuunganishwa na Umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii kama shule na vituo vya afya pamoja na nyumba za ibada zitafikishiwa umeme.
July 28 Events Limeongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Bonanza la Nishati 2024 Biteko ameeleza kufurahishwa kwake na morali waliyokuwa nayo Watumishi ambao walishiriki kikamilifu katika michezo mbali. "Maneno Kidogo Vitendo Zaidi" ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.
July 21 News Kati ya Zaidi ya Vijivi 12,000 Nchi Nzima Vijiji 151 Vimebaki Nchi Nzima Kupata Huduma ya Umeme – Kapinga Ni vijiji 151 tu nchi nzima ndio ambavyo bado havijafikiwa na huduma ya umeme kati ya Vijiji zaidi ya 12,000 ambapo wilayani Ludewa mkoani Njombe vimebaki Vijiji nane.
October 6 News Aipongeza kwa Kutekeleza Majukumu Yake Kwa Weledi Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya REA Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu Akutana na Menejimenti Announcements, News, Events Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Nishati Vijijini, Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu amefanya mkutano wa kwanza na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA)