January 3 Tenders REA's Environmental and Social Procedural Manual (ESPM) Announcements, Business This REA's Environmental and Social Procedural Manual (ESPM) provides the procedures for integrating environmental and social considerations into the planning process and implementation of rural energy projects and programmes.
November 27 Press Releases TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTAFITI WA HALI YA UPATIKANAJI NA MATUMIZI YA NISHATI YA UMEME TANZANIA BARA KWA MWAKA 2019-2020 Announcements, Announcements Press Releases Serikali inafanya Utafiti wa Hali ya Upatikanaji na Matumizi ya Umeme Tanzania Bara kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (National Bureau of Statistics) Mwaka 2019-2020.
October 28 Announcements Waziri wa Nishati Aweka Ukomo wa Kuagiza Vifaa Vya Ujenzi wa Miradi ya Nishati Announcements, News Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme (TANESCO) kuweka mpango ambao utawezesha vifaa vyote vinavyotumika katika ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme vinatengenezwa hapa nchini.
June 21 Tenders REPDF Lot 1 Consultant Database Announcements, Business, News Uploaded is the REPDF Lot 1 Consultant Database.
June 17 Announcements RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEMTEUA WAKILI JULIUS B. KALOLO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI Announcements, News Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dr. John Pombe Magufuli amemteua Wakili Julius B. Kalolo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini.
May 28 Speeches HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI MHE. DKT. MEDARD MATOGOLO CHANANJA KALEMANI (MB) Announcements, Speeches, News WAZIRI WA NISHATI MHE. DKT. MEDARD MATOGOLO CHANANJA KALEMANI (MB.) AMEWASILISHA BUNGENI LEO, TAREHE 28 MEI, 2019 MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2019/20
April 8 Announcements WATEJA 22,700 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA Announcements, News, Events Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, tarehe 06/04/2019 amezindua Mradi wa kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Makambako hadi Songea. Jumla ya wateja wa awali 22,700 wanatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Mradi huu kwenye vijiji 122.
March 19 Tenders BALOZI WA NORWAY ATEMBELEA OFISI ZA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) Announcements, Business, News Balozi wa Norway nchini Tanzania, Ms. Elisabeth Jacobsen ametembelea Ofisi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Wakala tarehe 28 Februari, 2019.