July 21 News Kati ya Zaidi ya Vijivi 12,000 Nchi Nzima Vijiji 151 Vimebaki Nchi Nzima Kupata Huduma ya Umeme – Kapinga Ni vijiji 151 tu nchi nzima ndio ambavyo bado havijafikiwa na huduma ya umeme kati ya Vijiji zaidi ya 12,000 ambapo wilayani Ludewa mkoani Njombe vimebaki Vijiji nane.