Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Kagera, uzinduzi ulifanyika tarehe 11/07/2017 katika kijiji cha Rwabigaga, Kata ya Kamuli, Wilaya ya Kyerwa.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Manyara uliofanyika tarehe 24/06/2017 katika kijiji cha Luxmanda, Kata ya Secheda, Wilaya ya Babati Vijijini.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga aliongoza ujumbe wa viongozi wa Wakala kutembelea Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa ili kutathmini matokeo chanya yaliyotokana na utekelezwaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini.
Tarehe 5 Juni 2017, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Ulishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Kijiji cha Butiama, Mkoa wa Mara. Wakala ulipata fursa ya kuonesha mpango wake wa kusambaza umeme vijijini.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekamilisha taratibu za zabuni kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (Turnkey III) na unawajulisha Wakandarasi walioshinda kwamba hatua inayofuata ni kupewa barua za tuzo (Award Letters) na kusaini mikataba.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Singida uliofanyika tarehe 24/03/2017 katika kijiji cha Mkwese Wilaya ya Manyoni.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Iringa uliofanyika tarehe 21/03/2017 katika kijiji cha Image Wilaya ya Kilolo.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Shinyanga uliofanyika tarehe 02/04/2017 katika kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu.