July 28 News Mitungi 83,500 Yenye Thamani ya Bilioni 3.5 Imetolewa na REA Mpaka Sasa Serikali Kuongeza Matumizi ya Gesi ya Kupikia Nchini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inayo mikakati ya kuhakikisha inaongeza matumizi ya gesi ya kupikia nchini.
July 28 News REA Yapongezwa Kufikisha Umeme Katika Shule Vijijini Taasisi Zote za Huduma za Kijamii Kuunganishwa na Umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii kama shule na vituo vya afya pamoja na nyumba za ibada zitafikishiwa umeme.
July 28 Events Limeongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Bonanza la Nishati 2024 Biteko ameeleza kufurahishwa kwake na morali waliyokuwa nayo Watumishi ambao walishiriki kikamilifu katika michezo mbali. "Maneno Kidogo Vitendo Zaidi" ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi.