Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
REA Imeleta Mageuzi Sekta Ya Nishati
News

Mkurugenzi Mkuu REA apongezwa

REA Imeleta Mageuzi Sekta Ya Nishati

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii maeneo ya Vijijini kupitia miradi ya Usambazaji Umeme, uhamasishaji na uwezeshaji wa Teknolojia zilizoboreshwa za Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi kote nchini.

Naibu Waziri Nishati Atembelea Banda la REA
News

Naibu Waziri Nishati Atembelea Banda la REA

Naibu Waziri Wizara ya Nishati, Mhe. Salome Makamba katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy na Watumishi alipotembelea Banda la REA kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati, 2026 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Dkt. Mataragio Atembelea Banda la REA
News

Apongeza jitihada za REA

Dkt. Mataragio Atembelea Banda la REA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio  akitazama hali ya usambazaji umeme vitongojini kupitia Mfumo maalum wa Mawasiliano uliyobuniwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwaajili ya kuonyesha hali ya usambazaji umeme na mipango iliyopo maarufu kama REA Digital Platform alipotembelea Banda la REA

Waziri Ndejembi Aipongeza REA
News

Waziri Ndejembi Aipongeza REA

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kuwaletea maendeleo wananchi wake hususan wa maeneo ya vijijini  kupitia Usambazaji wa Nishati ya Umeme pamoja na Nishati Safi ya Kupikia.

Zaidi ya shilingi bilioni 127.7 Zatumika Kufikisha Nishati Vijijini Mwanza
News

Zaidi ya shilingi bilioni 127.7 zimetumika kupeleka huduma ya nishati safi Vijijini Mkoa wa Mwanza hali iliyochochea ukuaji wa uchumi na kuboreka kwa huduma za kijamii vijijini.

Zaidi ya shilingi bilioni 127.7 Zatumika Kufikisha Nishati Vijijini Mwanza

“Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Mwanza pekee imetoa jumla ya shilingi Bilioni 127.7 ili kutekeleza miradi ya kupeleka umeme hadi vitongojini. Mafanikio haya makubwa yamechangiwa pia na wabia wa maendeleo, tunawapongeza na kuwashukuru sana.

RSS
1345678910Last
«May 2026»
MonTueWedThuFriSatSun
27282930123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
1234567

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
REA Building
28 Medeli Street
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top