Social Links Search User Login Menu
Tools
Close
Close
MHANDISI AMOS WILLIAM MAGANGA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MKUU WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)
Admin.Frank Mugogo 5134

MHANDISI AMOS WILLIAM MAGANGA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MKUU WA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)

Bodi ya Nishati Vijijini (REB) katika kikao kilichofanyika Desemba 20, 2020 imemteua Mhandisi Amos William Maganga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuanzia tarehe 16 Desemba 2020 kwa mujibu wa kifungu cha 25(1) cha Sheria Namba 8 ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.

Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Maganga alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa REA. Mhandisi Maganga ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika sekta ya nishati. Aidha, ameshika nyadhifa mbalimbali tangu alipokuwa ameajiriwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Bodi inaomba ushirikiano kutoka kwa wadau wote ili kumuwezesha Mhandisi Maganga kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wakala.

Share

Print
«September 2024»
MonTueWedThuFriSatSun
26
REA yamtaka mwendelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Maguta mkoani Iringa kuongeza kasi

REA yamtaka mwendelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Maguta mkoani Iringa kuongeza kasi

Serikali imemtaka Mwendelezaji wa Mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji wa Maguta  uliopo katika Kijiji cha Masisiwe Wilayani Kilolo Mkoani Iringa kuukamilisha kwa wakati.

Read more
27
Wananchi waaswa kutunza mazingira

Wananchi waaswa kutunza mazingira

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewaasa wananchi kutunza mazingira na kulinda miundombinu pamoja na vyanzo vya maji ili kuendelea kupata huduma ya umeme pamoja na kuwa na miradi endelevu ya kufua umeme.

Read more
282930311
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30123456

Archive

Contact Us

E-Mail
General Information:  info@rea.go.tz
Director General:  dg@rea.go.tz
Procurement (PMU):  pmu@rea.go.tz
Webmaster:  webmaster@rea.go.tz

Mailing Address

Director General
Rural Energy Agency - REA
PSSSF Building, 7th Floor
Makole Road
P. O. Box 2153
Dodoma, Tanzania

Phone & Fax

Tel: +255 26 2323504, +255 26 2323506
+255 26 2323507
Fax: +255 26 2323507

Time Zone

Please note that we are based in Tanzania, Time zone (GMT+03:00). Although we may not be in office at times convenient for all international enquiries, we do monitor our e-mail outside normal office hours.

Back To Top