October 23 News REA Yaanza Kusambaza Mitungi ya Gesi 19,530 Mkoani Mara News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza mitungi ya gesi 19,530 yenye thamani ya Shilingi milioni 390 katika wilaya sita za mkoa wa Mara ambapo mradi huo utawanufasiha wakazi wa maeneo ya vijijini.
October 23 News REA Yapongezwa kwa Kasi ya Utekelezaji Miradi ya Umeme Vitongojini News Wananchi wa vitongoji vya Chilimba na Mnayope Kata ya Mnyambe Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wamepongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme vitongojini chini ya usimamizi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
October 22 Announcements Tangazo Kwa Taasisi Zinazohudumia Watu Zaidi ya 100 Kuhusu Uhamasishaji wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Announcements Wakala wa Nishati Vijijini (REA), chini ya Wizara ya Nishati, una jukumu la kuhamasisha na kuwezesha upatikanaji wa nishati bora na salama kwa wananchi walioko maeneo ya vijijini upande wa Tanzania Bara.
October 20 News Newala Waipa Kongole REA Mradi wa Kusambaza Umeme Vitongojini News Wakazi wa vitongoji vya Chihanga, Mpilipili, Mkwedu na Majengo Wilayani Newala Mkoani Mtwara wameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufikisha umeme katika vitongoji hivyo.
October 19 News Zaidi ya Vitongoji 2,350 Mkoani Mtwara Vyafikishiwa Umeme News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umefikisha umeme katika vitongoji 2,354 kati ya vitongoji 3,421 Mkoani Mtwara huku ukiendelea kutekeleza miradi ya kusambaza umeme katika vitongoji vilivyosalia mkoani humo.
October 5 News REA Yaanza Uhamasishaji Kwa Wananchi Kujiunga na Huduma ya Umeme Kwenye Vitongoji Mkoani Simiyu News Timu ya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na timu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tarehe 03 Oktoba, 2025 wameanza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi ili wajiunge na huduma ya umeme kwenye vitongoji mbalimbali vya mkoa wa Simiyu.
September 29 News REA Kivutio Kikubwa Uuzaji wa Majiko Banifu kwa Bei ya Ruzuku News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuuza majiko banifu kwa bei ya ruzuku katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bombambili mkoani Geita.
September 29 News Majiko Banifu Teknolojia ya Kisasa Inayotumia Mkaa Kidogo News Imeelezwa kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ni majiko yanayotumia kiasi kidogo cha mkaa kulinganisha na majiko mengine ya mkaa.