Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Dodoma uliofanyika tarehe 16/03/2017 katika kijiji cha Kigwe Wilaya ya Bahi.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Pwani uliofanyika tarehe 13/03/2017 katika kijiji cha Msufini Wilaya ya Kibaha.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Tanga uliofanyika tarehe 06/03/2017 katika kijiji cha Zingibari Wilaya ya Mkinga.
Wakala wa Nishati Vijiji (REA), kwa kipindi cha robo ya mwisho (Aprili – Juni) ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 umepanga kutoa mafunzo kwa mafundi na waendelezaji wa vyanzo vya umeme unaozalishwa kutokana na raslimali za nishati jadidifu katika kila mkoa Tanzania Bara.
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Awamu ya Tatu utakaojumuisha vijiji 7,873 katika wilaya na mikoa yote ya Tanzania Bara. Kati ya vijiji hivyo, vijiji 7,697 vitapelekewa umeme wa gridi na vijiji 176 umeme wa nje ya gridi (off-grid).
The United Republic of Tanzania has received a grant from the Sustainable Energy Fund for Africa (SEFA) administrated by the African Development Bank to finance the establishment of the Renewable Energy Investment Facility.