May 5 News REA WAADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI News, Events Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kupanda miti zaidi ya 2000 katika Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili ya Milembe.
February 21 Tenders Extended Deadline for Grant Application for Renewable Energy Project Preparation Support Facility (PPSF) up to 2nd April 2022 The Agency hereby extends the deadline for applications from Renewable Energy Small Power Producer (SPP) and Mini-Grid Project Developers for financial assistance from the PPSF up to 2nd April 2022.
February 1 Events BODI YA REA YAAGWA NA KUTUNUKIWA TUZO KWA UTUMISHI WENYE TIJA News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imehitimisha muda wake kisheria na kupongezwa kwa kutekeleza majukumu yake kwa juhudi, weledi, uadilifu na uzalendo.
December 27 Events MPANGO KABAMBE UPELEKAJI NISHATI VIJIJINI WABAINISHWA News, Events Imeelezwa kuwa Mpango Kabambe wa Kupeleka Nishati Vijijini umelenga kuwanufaisha wananchi kupitia usambazaji umeme pamoja na nishati bora ya kupikia.
December 23 Events DC BUHIGWE NA VIONGOZI REA WAJADILI MIRADI YA UMEME VIJIJINI News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, wamemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina na kujadiliana kuhusu utekelezwaji miradi ya umeme vijijini, wilayani humo.
December 23 Events WAZIRI MAKAMBA ATAMANI MWELEKEO MPYA REA News, Events Waziri wa Nishati January Makamba amewaelekeza viongozi na wafanyakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza nguvu katika aina nyingine za nishati kama inavyofanyika kwenye umeme.
November 10 Events REA NEWS ISSUE #3 - NOVEMBER 2021 News, Events REA News Magazine Issue #3, November 2021 / Jarida la Wakala wa Nishati Vijijini, REA News Toleo #3, Novemba 2021.
October 4 Reports REA NEWS ISSUE #2 - OCTOBER 2021 Announcements, Reports, News REA News Magazine Issue #2, October 2021 / Jarida la Wakala wa Nishati Vijijini, REA News Toleo #2, Octoba 2021.