November 30 Events WABIA WA MAENDELEO WAOMBWA KUENDELEA KUCHANGIA MIRADI YA NISHATI VIJIJINI Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta amewataka Wabia wa Maendeleo kuendelea kuchangia Mfuko wa Nishati Vijijini (REF) ili kuwezesha usambazaji wa nishati vijijini kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa maisha ya wananchi wa vijijini.
October 8 Events Bodi ya Nishati Vijijini Yatembelea Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imefanya ziara ya siku moja katika Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere uliopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo ambao ukikamilika utawezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini.
September 29 Events Miradi ya Kusambaza Umeme Vijijini Sasa ni Kitongoji kwa Kitongoji News, Events Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Merdad Kalemani amezindua Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili tarehe 24 Septemba 2020. Mradi huu unalenga kuongeza wigo wa usambazaji umeme kwenye vitongoji katika vijiji vilivyofikiwa na miundombinu ya umeme.
September 24 Tenders JOINT PRESS STATEMENT - NORWAY, SWEDEN AND EU FOR REDP 2A Announcements, Business, Announcements Press Releases Norway, Sweden and European Union announce a contribution for a total amount of 142 TZS Billion (USD 61 million) to “the Densification Round 2A Project” as part of the Government of Tanzania’s Rural Electrification Programme – Turnkey III, running until the end of 2021.
August 29 Events BODI YA NISHATI VIJIJINI HAIJARIDHISHWA NA KAZI YA MKANDARASI MKOA WA SINGIDA News, Events Bodi ya Nishati Vijijini (REB) haijaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini katika Wilaya ya Iramba na Mkalama mkoani Singida unayotekelezwa na Kampuni ya Emerc and Dynamic Engineering.
August 27 Events SUMA JKT WAPONGEZWA KWA KUJENGA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo amekipongeza kikosi cha Suma JKT ambacho kimepewa kazi kujenga miundombinu ya kusambaza umeme katika kata ya Kwa Mtoro na Farkwa.
August 10 Announcements REA YAIBUKA NA USHINDI MAONESHO YA NANENANE MWAKA 2020 MKOANI SIMIYU Announcements, News, Events Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeibuka na ushindi wa pili katika kundi la Wakala wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
August 9 Announcements MWENYEKITI WA BODI YA NISHATI VIJIJINI ATOA WITO KUHUSU ULINZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME VIJIJINI Announcements, News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa vijiji kulinda miundombinu ya usambazaji wa umeme katika vijiji vyao ili kuepusha hasara ambayo Serikali inapata kutokana na uharibifu wa miundombinu hiyo.