September 29 News Majiko Banifu Teknolojia ya Kisasa Inayotumia Mkaa Kidogo News Imeelezwa kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ni majiko yanayotumia kiasi kidogo cha mkaa kulinganisha na majiko mengine ya mkaa.
September 26 News REA Yasambaza Majiko na Mitungi ya Gesi Kilo 15 Kwa Jeshi la Magereza Mkoani Shinyanga News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tarehe 24 Septemba, 2025 imesambaza kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza 221 mkoa wa Shinyanga majiko ya gesi ya sahani (2) na mitungi ya kilo 15 kwa ajili ya Maafisa na Watumishi wa Jeshi hilo huku wito ukitolewa wa kuwataka wawe mabalozi wa nishati safi kwa mkoa huo.
September 10 News Dkt. Biteko Aimwagia Sifa REA, Ataka Taasisi Zingine Ziige News Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kukamilisha lengo la usambazaji Umeme katika Vijiji 12,318 Nchini na kwa umahiri wake katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.
September 7 News Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ahamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia News Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa, Ismail Ali Ussi amewahamasisha wananchi kuunga mkono kampeni ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya pamoja kuokoa mazingira.
August 20 News Nishati Safi ya Kupikia Suluhu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi News Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
August 15 News Viongozi wa Dini Mabalozi Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa wito kwa viongozi wa dini nchini kushiriki kikamilifu katika kampeni ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa lengo la kulinda afya na kuokoa mazingira.
August 13 News Kaya 3,255 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Wilaya ya Mlele News Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku.
August 12 News Rais Samia Awafuta Machozi ya Kuni Akina Mama Nchini News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa shilingi 9,400,799,626.7 wa kusambaza majiko yaliyoboreshwa maarufu kama majiko banifu 200,000 kwa bei ya ruzuku ya asilimia 80 hadi 85 kote nchini.