December 27 Events MPANGO KABAMBE UPELEKAJI NISHATI VIJIJINI WABAINISHWA News, Events Imeelezwa kuwa Mpango Kabambe wa Kupeleka Nishati Vijijini umelenga kuwanufaisha wananchi kupitia usambazaji umeme pamoja na nishati bora ya kupikia.
December 23 Events DC BUHIGWE NA VIONGOZI REA WAJADILI MIRADI YA UMEME VIJIJINI News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, wamemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina na kujadiliana kuhusu utekelezwaji miradi ya umeme vijijini, wilayani humo.
December 23 Events WAZIRI MAKAMBA ATAMANI MWELEKEO MPYA REA News, Events Waziri wa Nishati January Makamba amewaelekeza viongozi na wafanyakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza nguvu katika aina nyingine za nishati kama inavyofanyika kwenye umeme.
November 10 Events REA NEWS ISSUE #3 - NOVEMBER 2021 News, Events REA News Magazine Issue #3, November 2021 / Jarida la Wakala wa Nishati Vijijini, REA News Toleo #3, Novemba 2021.
September 30 Events DG MPYA REA ATAKA UTENDAJI KAZI WENYE BIDII, MAARIFA NA UADILIFU Mhandisi Said amesema matumaini ya Watanzania, hasa wa vijijini, yanategemea dhamana ambayo REA imepewa.
September 13 Announcements SALAMU ZA PONGEZI MH. JANUARI YUSUF MAKAMBA (MB) ATEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Mheshimiwa Januari Yusuf Makamba (Mb) kuwa Waziri wa Nishati.
December 14 Events KIPAUMBELE CHA SERIKALI KATIKA KUSAMBAZA NISHATI VIJIJINI NI KUPELEKA UMEME KATIKA VITONGOJI News, Events Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Medard Kalemani amesema kipaumbele cha Serikali katika kusambaza nishati vijijini ni kupeleka umeme katika vitongoji.
November 30 Events WABIA WA MAENDELEO WAOMBWA KUENDELEA KUCHANGIA MIRADI YA NISHATI VIJIJINI Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta amewataka Wabia wa Maendeleo kuendelea kuchangia Mfuko wa Nishati Vijijini (REF) ili kuwezesha usambazaji wa nishati vijijini kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa maisha ya wananchi wa vijijini.