June 15 Announcements MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI / RURAL ELECTRIFICATION PROJECTS TAARIFA KWA WAKANDARASI / NOTICE TO CONTRACTORS Announcements Wakandarasi ambao hawajakamilisha wajibu wao hawataruhusiwa kushiriki katika zabuni zitakazotangazwa na Wakala.Contractors who have not fulfilled their obligations will not be allowed to participate in the forthcoming tenders to be advertised by the Agency.
May 24 Tenders INVITATION FOR TENDER - SUPPLY OF SOLAR PV SYSTEMS FOR PRACTICAL TRAINING TO ARTISANS AND TECHNICIANS IN MARA, SIMIYU AND TABORA REGIONS The Rural Energy Agency (REA) invites sealed bids from eligible suppliers registered as Class Three Solar Contractor or above for Supply of Solar PV Systems for Practical Training to Artisans and Technicians in Mara, Simiyu, and Tabora Regions.
May 24 Tenders INVITATION FOR EXPRESSION OF INTEREST EOI - SUPERVISION SERVICES FOR CONSTRUCTION OF 220/33 KV SUBSTATION AT IFAKARA AND DISTRIBUTION LINES IN KILOMBERO AND ULANGA DISTRICTS Announcements, Business United Republic of Tanzania has received grant from the European Union (EU) to supervise construction of 220/33 kV substation at Ifakara and 70km of distribution power lines in Kilombero and Ulanga Districts - Morogoro region.
May 23 Press Releases UFAFANUZI KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA KATIKA GAZETI LA JAMHURI TOLEO NA. 295 LA TAREHE 23 – 29 MEI, 2017 Announcements Press Releases Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatoa ufafanuzi kuhusu habari iliyochapishwa katika gazeti la Jamhuri Toleo Na. 295 la tarehe 23 – 29 Mei, 2017 yenye kichwa cha habari “ Waziri apiga dili” ununuzi wa zabuni ya wakandarasi wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwamba ulizingatia Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2011 (kama ilivyofanyiwa marekebisho Mwaka 2016) pamoja na kanuni zake.
May 16 Press Releases TAARIFA KWA WAKANDARASI WALIOSHINDA ZABUNI ZA KUTEKELEZA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU Announcements Press Releases, News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umekamilisha taratibu za zabuni kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (Turnkey III) na unawajulisha Wakandarasi walioshinda kwamba hatua inayofuata ni kupewa barua za tuzo (Award Letters) na kusaini mikataba.
April 20 Announcements UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) Announcements Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), Waziri wa Nishati na Madini, amemteua Mwenyekiti na Wajumbe Wapya wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kutokana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Nambari 5(1) (b) Nambari 8(3) cha Sheria ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.
April 19 Reports Energy Access Situation Report, 2016 Tanzania Mainland Reports This Survey Report is the second product of the Rural Energy Agency (REA) under the Ministry of Energy and Minerals. The first one was conducted in 2011 aimed at providing baseline data on the access and use of energy in Tanzania Mainland.
April 17 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA SINGIDA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Singida uliofanyika tarehe 24/03/2017 katika kijiji cha Mkwese Wilaya ya Manyoni.