This Survey Report is the second product of the Rural Energy Agency (REA) under the Ministry of Energy and Minerals. The first one was conducted in 2011 aimed at providing baseline data on the access and use of energy in Tanzania Mainland.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Singida uliofanyika tarehe 24/03/2017 katika kijiji cha Mkwese Wilaya ya Manyoni.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Iringa uliofanyika tarehe 21/03/2017 katika kijiji cha Image Wilaya ya Kilolo.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Shinyanga uliofanyika tarehe 02/04/2017 katika kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Mbeya uliofanyika tarehe 20/03/2017 katika Kijiji cha Ilinga, Kata ya Ibigi, Wilaya ya Rungwe.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Mara uliofanyika tarehe 18/03/2017 katika kijiji cha Mariwanda Wilaya ya Bunda.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Dodoma uliofanyika tarehe 16/03/2017 katika kijiji cha Kigwe Wilaya ya Bahi.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Pwani uliofanyika tarehe 13/03/2017 katika kijiji cha Msufini Wilaya ya Kibaha.