November 27 News Zingatieni Sheria Kanuni na Taratibu- DG REA News Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewaelekeza Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa umma.