February 2 News UZINDUZI WA UZINDUZI WA MRADI KABAMBE WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU KIGOMA Waziri wa Nishati, Mh. Dk. Medard M. Kalemani (Mb) amezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Kigoma na kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini katika Mikoa ya Katavi na Rukwa.
April 20 Announcements UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) Announcements Mhe. Prof. Sospeter M. Muhongo (Mb.), Waziri wa Nishati na Madini, amemteua Mwenyekiti na Wajumbe Wapya wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kutokana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Nambari 5(1) (b) Nambari 8(3) cha Sheria ya Nishati Vijijini ya Mwaka 2005.
April 19 Reports Energy Access Situation Report, 2016 Tanzania Mainland Reports This Survey Report is the second product of the Rural Energy Agency (REA) under the Ministry of Energy and Minerals. The first one was conducted in 2011 aimed at providing baseline data on the access and use of energy in Tanzania Mainland.
March 8 News UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA TANGA News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umezindua utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu katika Mkoa wa Tanga uliofanyika tarehe 06/03/2017 katika kijiji cha Zingibari Wilaya ya Mkinga.
February 9 Press Releases UTEKELEZAJI WA MRADI KABAMBE WA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU (TURNKEY III) WAANZA Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza utekelezaji wa Mradi Kabambe wa Awamu ya Tatu utakaojumuisha vijiji 7,873 katika wilaya na mikoa yote ya Tanzania Bara. Kati ya vijiji hivyo, vijiji 7,697 vitapelekewa umeme wa gridi na vijiji 176 umeme wa nje ya gridi (off-grid).
October 10 Reports REA Annual Report for the Financial Year ended June 30th, 2015 Reports The Annual Report for 2014/15 Rural Energy Agency provides the status of progress and milestones of rural energy activities that were planned for the Financial Year 2014/15.
9/23/2016 11:00 AM - 11/4/2016 11:00 AM Tenders RBF GRANTS PROGRAMME 2016, FIRST CALL FOR APPLICATIONS (RBF2016C1) Announcements, Business 9/23/2016 11:00 AM - 11/4/2016 11:00 AM The Rural Energy Agency (REA) invites renewable mini- and micro grid Project Developers to submit applications for result based grants to support accelerated access to sustainable energy services in un-served rural areas of mainland Tanzania.
9/20/2016 Events Imeandaliwa na Ubalozi wa Norway Nchini Tanzania Semina ya Fursa za Uwekezaji Katika Sekta ya Nishati Nchini News, Events 9/20/2016 Ubalozi wa Norway nchini umeandaa semina ya siku moja iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 20 Septemba, 2016 kwa ajili kuelezea fursa za uwekezaji katika sekta ya nishati nchini. Semina hiyo ilihudhuriwa na washiriki kutoka makampuni 14 kutoka Norway na wadau wengine mbalimbali.