Naibu Waziri Wizara ya Nishati, Mhe. Salome Makamba katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy na Watumishi alipotembelea Banda la REA kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati, 2026 katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma