April 11 News Dkt. Homera aipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi ya nishati Namtumbo REA Yawasha Umeme Vitongoji 307 Namtumbo Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewekeza jumla ya shilingi bilioni 12.1 katika miradi ya kupeleka umeme kwenye vitongoji katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.